Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 6:16-19

Mithali 6:16-19 SRUV

Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.

Soma Mithali 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 6:16-19