Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:20-22

Mithali 2:20-22 SRUV

Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki. Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.

Soma Mithali 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 2:20-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha