Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 18:9-10

Mithali 18:9-10 SRUV

Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharibifu. Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.

Soma Mithali 18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha