Methali 18:9-10
Methali 18:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mvivu kazini mwake ni ndugu yake mharibifu. Jina la Mwenyezi-Mungu ni mnara imara; mwadilifu huukimbilia akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharibifu. Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu. Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18