Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:18-19

Wafilipi 4:18-19 SRUV

Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; nimepokea kwa mkono wa Epafrodito vitu vile vilivyotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impendezayo Mungu. Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.

Soma Wafilipi 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 4:18-19