Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:18-19

Wafilipi 4:18-19 NEN

Nimelipwa kikamilifu hata na zaidi; nimetoshelezwa kabisa sasa, kwa kuwa nimepokea kutoka kwa Epafrodito vile vitu mlivyonitumia, sadaka yenye harufu nzuri, dhabihu inayokubalika na ya kumpendeza Mungu. Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 4:18-19