Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 11:22-24

Marko 11:22-24 SRUV

Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu. Amin, nawaambia, yeyote atakayeuambia mlima huu, Ng'oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake. Kwa sababu hiyo nawaambia, Yoyote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.

Soma Marko 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 11:22-24