Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 11:22-24

Marko 11:22-24 NEN

Yesu akawajibu, “Mwaminini Mungu. Amin, nawaambia, mtu yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ngʼoka ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yametukia, atatimiziwa. Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 11:22-24