Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:42-44

Marko 1:42-44 SRUV

Na mara ukoma wake ukamtoka, akatakasika. Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara, akamwambia, Angalia, usimwambie mtu neno lolote, ila nenda zako ukajioneshe kwa kuhani, ukatoe alivyoamuru Musa kwa ajili ya kutakasika kwako, iwe ushuhuda kwao.

Soma Marko 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:42-44

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha