Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 8:21-22

Mathayo 8:21-22 SRUV

Mwingine katika wanafunzi wake akamwambia, Bwana, nipe ruhusa kwanza, niende nikamzike baba yangu. Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao.

Soma Mathayo 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 8:21-22