Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 8:21-22

Mt 8:21-22 SUV

Mwingine katika wanafunzi wake akamwambia, Bwana, nipe ruhusa kwanza, niende nikamzike baba yangu. Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao.

Soma Mt 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 8:21-22