Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:38-39

Mathayo 5:38-39 SRUV

Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.

Soma Mathayo 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:38-39