Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:38-39

Mathayo 5:38-39 NEN

“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:38-39