Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:3-7

Mathayo 5:3-7 SRUV

Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.

Soma Mathayo 5