Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 27:3-5

Mathayo 27:3-5 SRUV

Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nilikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Wakasema, Basi, haya yatuhusu nini sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe. Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.

Soma Mathayo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 27:3-5