Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 27:3-5

Mt 27:3-5 SUV

Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe. Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.

Soma Mt 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 27:3-5