Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:1-3

Mathayo 22:1-3 SRUV

Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akisema, Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi. Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.

Soma Mathayo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha