Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 20:29-33

Mathayo 20:29-33 SRUV

Walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata. Na tazama, vipofu wawili walikuwa wameketi kando ya njia, nao waliposikia ya kwamba Yesu anapita, walipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi! Mkutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi! Yesu akasimama, akawaita, akasema, Mnataka niwafanyie nini? Wakamwambia, Bwana, twataka macho yetu yafumbuliwe.

Soma Mathayo 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 20:29-33