Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:36-38

Luka 2:36-38 SRUV

Palikuwa na nabii mwanamke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila la Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake. Naye ni mjane wa miaka themanini na minne; haondoki katika hekalu, ila huabudu usiku na mchana kwa kufunga na kuomba. Huyu alitokea saa ile ile akamshukuru Mungu, na wote waliokuwa wakiutarajia ukombozi katika Yerusalemu akawatolea habari zake.

Soma Luka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:36-38