Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuzaliwa kwa Yesu – Injili ya Luka Sura ya 1-2

Kutoka BibleProject

MAANDIKO YANAYOHUSIANA

Ya kwanza katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunaangazia matukio ya kuvutia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Hali duni ya familia yake na hadhi yao ya chini katika jamii ya Israeli zinatabiri ufalme wa Yesu ulivyokuwa kinyume na matarajio. https://bibleproject.com/Swahili/