Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 18:4-5

Luka 18:4-5 SRUV

Naye kwa muda alikataa; halafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa simchi Mungu wala sijali watu, lakini, kwa kuwa mjane huyu ananiudhi, nitampatia haki yake, asije akanichosha kwa kunijia daima.

Soma Luka 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 18:4-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha