Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 14:12-14

Luka 14:12-14 SRUV

Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha mchana au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako wenye mali; wao wasije wakakualika nawe ukapata malipo. Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu, nawe utakuwa heri, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa; kwa maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.

Soma Luka 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 14:12-14