Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 3:21-24

Maombolezo 3:21-24 SRUV

Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 3:21-24