Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Omb 3:21-24

Omb 3:21-24 SUV

Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Picha za Aya za Omb 3:21-24

Omb 3:21-24 - Najikumbusha neno hili,
Kwa hiyo nina matumaini.

Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.Omb 3:21-24 - Najikumbusha neno hili,
Kwa hiyo nina matumaini.

Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.Omb 3:21-24 - Najikumbusha neno hili,
Kwa hiyo nina matumaini.

Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Ni mpya kila siku asubuhi;
Uaminifu wako ni mkuu.
BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu,
Kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Omb 3:21-24