Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:67-68

Yohana 6:67-68 SRUV

Basi Yesu akawaambia wale Kumi na Wawili, Je! Ninyi nanyi mnataka kuondoka? Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.

Soma Yohana 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:67-68