Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 6:67-68

Yn 6:67-68 SUV

Basi Yesu akawaambia wale Thenashara, Je! Ninyi nanyi mwataka kuondoka? Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.

Soma Yn 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 6:67-68