Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 3:27-29

Yohana 3:27-29 SRUV

Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lolote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nilisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi.

Soma Yohana 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 3:27-29