Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 29:11-13

Yeremia 29:11-13 SRUV

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

Soma Yeremia 29

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 29:11-13