Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:13-14

Yakobo 3:13-14 SRUV

Ni nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aoneshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima. Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.

Soma Yakobo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:13-14