Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:7-8

Isaya 53:7-8 SRUV

Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake. Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani angeyajali? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

Soma Isaya 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 53:7-8