Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 53:7-8

Isa 53:7-8 SUV

Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake. Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 53:7-8