Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:1

Isaya 43:1 SRUV

Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.

Soma Isaya 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 43:1