Isaya 43:1
Isaya 43:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliyewaumba enyi watu wa Yakobo, yeye aliyewafanya enyi watu wa Israeli, asema: “Msiogope, maana mimi nimewakomboa; nimewaita kwa jina nanyi ni wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 43