Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:28-29

Isaya 40:28-29 SRUV

Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

Soma Isaya 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:28-29