Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 40:28-29

Isa 40:28-29 SUV

Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

Soma Isa 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 40:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha