Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 35:5-6

Isaya 35:5-6 SRUV

Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa. Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.

Soma Isaya 35