Isaya 35:5-6
Isaya 35:5-6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa na masikio ya viziwi yatazibuliwa. Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, na vijito katika jangwa.
Shirikisha
Soma Isaya 35Isaya 35:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo vipofu wataona tena, na viziwi watasikia tena. Walemavu watarukaruka kama paa, na bubu wataimba kwa furaha. Maji yatabubujika nyikani na vijito vya maji jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 35