Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 25:7-8

Isaya 25:7-8 SRUV

Naye katika mlima huu atauharibu utando uliowekwa juu ya watu wote, na utaji ule uliotandwa juu ya mataifa yote. Amemeza mauti hata milele; na Bwana MUNGU atafuta machozi katika nyuso zote; na aibu ya watu wake ataiondoa katika ulimwengu wote; maana BWANA amenena hayo.

Soma Isaya 25