Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 25:7-8

Isaya 25:7-8 NEN

Juu ya mlima huu ataharibu sitara ihifadhiyo mataifa yote, kile kifuniko kifunikacho mataifa yote, yeye atameza mauti milele. BWANA Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. BWANA amesema hili.