Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 11:1-2

Isaya 11:1-2 SRUV

Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda. Na Roho ya BWANA itakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA

Soma Isaya 11