Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 10:12-14

Waraka kwa Waebrania 10:12-14 SRUV

Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwa ajili ya dhambi dhabihu moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kulia wa Mungu; tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake. Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.