Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Habakuki 2:2-3

Habakuki 2:2-3 SRUV

BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

Soma Habakuki 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Habakuki 2:2-3