Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 6:5-6

Mwanzo 6:5-6 SRUV

BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemwumba mwanadamu duniani, akahuzunika moyo.

Soma Mwanzo 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 6:5-6