Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:22-23

Mwanzo 49:22-23 SRUV

Yusufu ni mti mchanga wenye kuzaa, Mti mchanga wenye kuzaa karibu na chemchemi, Matawi yake yametanda ukutani. Wapiga mishale walimtenda machungu, Wakamlenga na kumbana sana

Soma Mwanzo 49

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:22-23