Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:22-23

Mwanzo 49:22-23 NEN

“Yosefu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, wakampiga mshale kwa ukatili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:22-23