Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 47:5-6

Mwanzo 47:5-6 SRUV

Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia; nchi ya Misri iko mbele yako, palipo pema pa nchi uwakalishe baba yako na ndugu zako; na wakae katika nchi ya Gosheni. Tena ukijua ya kuwa wako watu hodari miongoni mwao, uwaweke wawe wakuu wa wanyama wangu.

Soma Mwanzo 47

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 47:5-6