Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 47:5-6

Mwa 47:5-6 SUV

Farao akamwambia Yusufu, akisema, Baba yako na ndugu zako wamekujia; nchi ya Misri iko mbele yako, palipo pema pa nchi uwakalishe baba yako na ndugu zako; na wakae katika nchi ya Gosheni. Tena ukijua ya kuwa wako watu hodari miongoni mwao, uwaweke wawe wakuu wa wanyama wangu.

Soma Mwa 47

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 47:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha