Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 28:16-17

Mwanzo 28:16-17 SRUV

Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, ijapokuwa mimi sikujua. Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.

Soma Mwanzo 28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 28:16-17