Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 28:16-17

Mwa 28:16-17 SUV

Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, wala mimi sikujua. Naye akaogopa akasema, Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka, hapa ni nyumba ya Mungu, napo ndipo lango la mbinguni.

Soma Mwa 28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 28:16-17