Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 18:17-19

Mwanzo 18:17-19 SRUV

BWANA akasema, Je! Nimfiche Abrahamu jambo ambalo ninataka kulifanya, ikiwa Abrahamu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa? Kwa maana nimemchagua ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.

Soma Mwanzo 18